Mwimbaji Diamond Platnumz wa Tanzania alialikwa kwenda kutumbuiza Malawi Ijumaa ya weekend hii na hata yeye mwenyewe amefurahishwa na mwitikio wa Malawi kwenye muziki wake.

Diamond ameandika ‘Licha ya Mvua kunyesha na kuharibu stage na system yote muziki lakini mliamua kuvumilia na kunisubiria kuanzia usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi nilipopanda na kuanza show yangu…‘
‘Imefanya niwapende na kuwathamini kuliko mliyofikiria MALAWI…shukran sana kwa mapenzi yenu kwangu, natumai Show mliifurahia…tukutane tena wakati mwingine……NIGERIA see you this weeknd‘ – Diamond


.
No comments:
Post a Comment