Monday, 31 October 2016

BREAKING: Bondia Thomas Mashali afariki Dunia


Bondia maarufu wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali amefariki dunia usiku wa kuamkia leo October 31 2016 maeneo ya Kimara DSM, Taarifa zinadai kuwa alishambuliwa na wananchi baada ya madai ya kuitiwa mwizi.
Taarifa kutoka kwa Promota Siraji Kaike amesema watu aliokuwa anagombana nao walimwitia mwizi na wakawa wamemshambulia na baadaye wakawa wamemtupa na bodaboda waliokuwa wanamjua Thoams Mashali walimuokota na kumpeleka hospitali ambapo baadaye zilitolewa taarifa kuwa amefariki.

Sunday, 30 October 2016

PICHA 5: Malawi walivyojitokeza kumuona Diamond Platnumz


Ni habari iliyo njema kwa muziki wa Tanzania pale unapoona mwimbaji wake anaalikwa kwenda kutumbuiza kwenye taifa ambalo sio taifa linalotumia lugha ya Kiswahili lakini muziki wa bongofleva umeweza kupenya.
Mwimbaji Diamond Platnumz wa Tanzania alialikwa kwenda kutumbuiza Malawi Ijumaa ya weekend hii na hata yeye mwenyewe amefurahishwa na mwitikio wa Malawi kwenye muziki wake.
screen-shot-2016-10-30-at-11-56-27-pm
Diamond ameandika ‘Licha ya Mvua kunyesha na kuharibu stage na system yote muziki lakini mliamua kuvumilia na kunisubiria kuanzia usiku hadi saa kumi na mbili asubuhi nilipopanda na kuanza show yangu…
Imefanya niwapende na kuwathamini kuliko mliyofikiria MALAWI…shukran sana kwa mapenzi yenu kwangu, natumai Show mliifurahia…tukutane tena wakati mwingine……NIGERIA see you this weeknd‘ – Diamond
screen-shot-2016-10-30-at-11-56-39-pm
screen-shot-2016-10-30-at-10-22-57-pm
.
screen-shot-2016-10-30-at-10-23-39-pm

PICHA: Gari 5 za gharama Duniani kwa mwaka 2016


Nafahamu nina watu wangu ambao wanapenda kununua magari mazuri na yenye thamani za juu, hivyo mtandao wa digitaltrend.com umetaja magari yenye thamani ambayo unaweza kuyanunua kwa mwaka 2016 na ukihitaji kununua magari ya aina hiyo ni lazima mkwanja mrefu ukutoke.
1- Koenigsegg CCXR Trevita
q1
Koenigsegg CCXR Trevita inauzwa dola milioni 4.8 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 10.
2- Lamborghini Veneno
q2
Lamborghini Veneno inauzwa dola milioni 4.5 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 9
3- W Motors Lykan Hypersport
q3
W Motors Lykan Hypersport inauzwa dola milioni 3.2 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 7
4- Limited Edition Bugatti Veryron
q4
Limited Edition Bugatti Veyron inauzwa dola milioni 3.4 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 7
5- Ferrari Pininfarina Sergio
q5
Ferrari Pininfarina Sergio inauzwa dola milioni 3 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 6.

Kilicho semwa na Umoja wa Mataifa kuhusu Kenya kuondoa adhabu ya kifo

                                                                                    

                                                                                         

Rais Uhuru Kenyatta, Jumatatu iliyopita alibadili hukumu zote za kifo katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki na kuzifanya kuwa kifungo cha maisha jela. Hatua hiyo imewaondolea adhabu ya kifo wafungwa 2,747 katika nchi hiyo ambayo haijamyonga mfungwa yeyote aliyehukumiwa kifo kwa kipindi cha miaka 30 mpaka sasa.
Kupunguzwa adhabu ya kifo kwa idadi kubwa ya wafungwa kulifanyika mara ya mwisho nchini Kenya mwaka 2009 wakati wa utawala wa Rais mtaafu Mwai Kibaki. Ripoti zimearifu kuwa, hukumu ya kifo ilitekelezwa mara ya mwisho nchini Kenya mwaka 1987.

Saturday, 22 October 2016

MAHAFARI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA NKUHUNGU SECONDARY 2016

Mwanamitindo toka chuo cha CBE mkufumzi wa wanafunz








Mwanamitindo toka CBE

Mwanafunzi

Mwanafunzi

Mwanafunzi

Mwanafunzi

Kikosi kizima kilicho onyesha mavazi

Mkufunzi toka CBE

Wanafunzi kikosi cha Skauti


Wanafunzi kikundi cha kudenc

Wanafunzi kikundi cha Tai kondo

Wanafunzi kikundi cha sarakasi

Wanafunzi

Moja kat ya wagen waalikwa

Thursday, 20 October 2016

ISSA MKONGO

Jamaa kawahi mapema kwenye kibanda
umiza akiskilizia game kat ya Simba na
Mbao fc mjimpya kwa Tevez 32